TOP 10 YA NCHI ZENYE WANAWAKE WAZURI ZAIDI AFRICA

Bila kubisha naamini Africa ni bara lenye wanawake wazuri sana japokuwa linasumbuliwa na matatizo mbalimbali. Hii ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa wanawake wenye mwonekano mzuri zaidi.

10. South Africa
Aliwahi kushinda taji la miss S.A, na kuiwakilisha nchi yake katika Miss Universe beauty Pageant 2013.

[​IMG]



9. Ghana
Mdada huyu anatokea Ghana, ni miongoni mwa waigizaji wazuri nchini Ghana na Nigerian movie industry.

[​IMG]
8.Morocco
Rabat – Fati Jamali ana taji la mwanamke mzuri zaidi wa kiarabu mwaka 2014.

[​IMG]

7. Tanzania
Aliwai kuwa miss Tanzania
[​IMG]

6. Eritrea
Ni nchi iliyopo katika pembe ya Africa, mji wake mkuu ni Asmara. Wanawake wengi nchini humo wanavipaji mbalimbali ikiwemo wanamitindo

[​IMG]
5. Djibouti

[​IMG]


4. Misri
Nchi hii ilishawai kuwa na world best female model 2004-2006

[​IMG]

3.Ethiopia
Model wazuri kuanzia sura hadi maumbile yao wengi wapo Ethiopia

[​IMG]

2. Rwanda
Ndio kila sehemu duniani ina wanawake wazuri ila wanawake wa Rwanda wapo class za juu zaidi

[​IMG]

1. Somalia

Hatuwezi kuaribu urembo, Somalia ni nchi yenye wanawake wazuri sana Africa, Unamkumbuka Iman, yule model wa Kisomari na ule mwendo wake wa kupendeza katika Word best fashion competition, uzuri wao unatokana na ngozi zao(chocolate skin), na nywele zao ndefu na laini.

[​IMG]
Share on Google Plus

About Anonymous

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment