MAPENZI NI NINI?

Tokeo la picha la alikiba



King Kiba anasema mapenzi yanarun dunia ni kweli?
Kwa nini ukimpenda mtu unamtamani muda wote?

Hivi kwa nini mwingine anaua au kuuwawa kisa mapenzi?

Kwa nini wengine wanaona wengine wanaachana?
Hivi kwa nini baadhi hujinyonga eti kisa mapenzi!?

Mapenzi yanaishi au hupatikana wapi?moyoni,machoni,akilini au mwilini?

Kwa nini wapo husema mapenzi pesa wengine husema mapenzi akili?

Hivi haya ni kitu gani?
Mapenzi ya DHATI ni yapi?

Jamani kwa nini wengine wanapendwa wasipopendwa?huku wengine wanapendana wote?

Hivi unaweza kumdhuru au kumsaliti unayempenda kwa dhati?

Unaweza penda mume au mke wa mtu?
Unawezaje penda mtu usiemfahamu?

Aiseee!mapenzi jamani!
Share on Google Plus

About Anonymous

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment